Angalia Simba ilivyotandika 20 KMC kwa magoli la Luis Miquissone Highlights
YOUR LINK HERE:
http://youtube.com/watch?v=siheybfz0rc
Timu ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMNC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Machi Mosi 2020 kwenye Dimba la Taifa, Dar es Salaam, Magoli yote ya Simba yamefungwa na kiungo wake Luis Miquissone kutoka Msumbiji. • Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: • ► https://bit.ly/2wB6zmR • Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii • ►INSTAGRAM: / azamtvtz • ►INSTAGRAM: / azamsports2 • ►TWITTER: / azamtvtz • ►FACEBOOK: / azamtvtz • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#############################
