KMKM 12 St George Highlights CAF CL 18082023











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=tQrTwidsqwA

Timu ya KMKM ya visiwani Zanzibar imeanza vibaya Ligi ya Mabingwa barani Afrika #CAFCL kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 nyumbani kutoka kwa St. George ya Ethiopia. • Magoli ya St George yamefungwa na Binyam Damte na Natnael Zeleke huku goli pekee la KMKM likipatikana kwa penati dakika ya 75 kupitia kwa Salum Salum. • Ni mechi ya mkondo wa kwanza ya hatua ya awali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org