SAMORA MACHEL ALIPOTOA HOTUBA YA KIHISTORIA quotA LUTA CONTINUAquot KISWAHILI











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=thAdvO-B5MA

Sehemu muhimu ya hotuba ya kihistoria ya Rais wa Kwanza wa Msumbiji Samora Machel 🇲🇿 wakati akihutubia kwenye sherehe za Uhuru mwaka 1975. Hotuba yake ilipambwa na kauli mbiu ya A luta Continua ikiwa na maana kuwa mapambano bado yanaendelea . • Samora Machel aliamini kuwa licha ya nchi yake na nchi zingine kupata Uhuru lakini mapambano bado yanaendelea na hiyo ndio maana halisi ya A LUTA CONTINUA . Alisema mapambano dhidi ya njaa, umasikini, dhiki, unyonyaji (ukoloni), ukabila, ushirikina bado yanaendelea ili kuleta jamii yenye usawa. • Kauli mbiu ya Aluta Continua ni msemo uliovuma sana Kwa kipindi hicho kwani ulibeba ujumbe mubwa na ndio maana hadi sasa wanasiasa na wanaharakati hupenda kutumia msemo huo ili kuwahamasisha watu wanapokuwa wamesimama katika majukwaa ili kuwapa hamasa na matumaini. • Samora Machel, Rais wa Mozambique, alikufa katika ajali ya ndege tarehe 19 Oktoba 1986. Ndege yake, Ilyushin Il-62, ilidondoka karibu na mpaka wa Mozambique na Afrika Kusini. Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni shambulio la kombora kutoka kwa vikosi vya Afrika Kusini, ambavyo vilikuwa na uhusiano na makundi ya upinzani nchini Msumbiji. Hata hivyo, kuna maoni mengine yanayoashiria kuwa ajali hiyo ilikuwa na makosa ya kibinadamu au matatizo ya kiufundi. Kifo chake kilikuwa na athari kubwa na kiliibua utata kwani hadi sasa kuna mgongano wa nadharia mbalimbali kuhusu chanzo cha ajali yake. • Nimeakuandalia soft copy ya kitabu cha Thomas Sankara shujaa wa Afrika Kwa lugha ya kiswahili ambapo utapata soft copy kwa elfu tatu tu 3,000/=. Lakini pia kuna soft copy za vitabu vya viongozi mahiri wa Afrika kama Samora Machel, Mwl Julius Kambarage Nyerere, Muammar Gaddafi, Kwame Nkurumah, Robert Mugabe, na Patrice Lumumba. Ukihitahi nipigie simu au tuma ujumbe Whatsapp Kwa namba 0624645737. • #ALUTACONTINUA #SAMORAMACHEL

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org