YANGA yaanza kumwaga pesa kwa WACHEZAJI wake WAANZA NA KELVIN YONDANI
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=uAZ372Qs6XE
CLUB ya yanga ya jiji dar es salaam imeanza kutoa mapesa kwa wachezaji wake mpango ambao utakuwa endelevu ili kuhakikisha timu hiyo inakuwa kwenye nafasi nzuri katika ligi ikiwa ni pamoja na kuwapita wapinzani wao simba na azam. mchezaji wa kwanza kupokea fedha hizo ni KELVIN YONDANI ambaye alifanya vizuri katika mchezo wao dhidi ya NDANDA FC ya mtwara, haruna niyonzima,ibrahim ajibu, singida united • PATA kutazama habari mbalimbali za burudani,kijamii michezo na burudani bila kusahau habari za kimataifa kupitia katika channel hii ya tokazamani tv on line • ~-~~-~~~-~~-~ • Please watch: ZIARA YA NAIBU WAZIRI MAJI ENG.MAHUNDI YASIMAMISHWA NA MABANGO KIJIJI CHA NGINDO-NYASA • • ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI ENG.MAH... • ~-~~-~~~-~~-~
#############################
