BABA POKEA SADAKA BY STEVE KHAKOLONGOLO Kwaya Mt Romano Mtunzi
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=uQ18xyCcfAk
Mtunzi: Steve Khakolongolo • Makundi Nyimbo: Sadaka • MANENO YA WIMBO • [Baba pokea sadaka yetu, ijapo ni kidogo twakutolea kwa moyo wote, twaomba uipokee]×2 [iye iyele] ×8 Baba ipokee sadaka, kazi ya mikono yetu, ninakutolea kwa moyo wangu wote Baba pokea [Pokea Baba hii sadaka tunaileta kwako] ×2 [Tunakuomba ewe Baba uibariki]×2 • 1. Ni mazao ya mashamba yetu, tunayaleta kwako- tunakuomba ewe Baba uyabariki. • 2. Na hata fedha za mifuko tunazileta kwako tunakuomba ewe Baba uzibariki. • 3. Na jasho letu mali yako tunaileta kwako tunakuomba ewe Baba uibariki. • 4. Uwezo wetu mali yako tunauleta kwako tunakuomba ewe Baba uibariki • #wanaromano
#############################
![](http://youtor.org/essay_main.png)