Prof Kabudi Kwa yeyote aliye na tatizo na Tanzania akae kimya
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=umuBF8Lf650
Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi amewataka Watanzania kuwa wazalendo na nchi yao na kusema Tanzania hivi sasa sio nchi ya kusemwa na kudhihakiwa. • #Uteuzi #AzamTWO #AzamTVApp #AzamTVUpdates
#############################
