AHSANTE KWA WEMA OFFICIAL VIDEO Kwaya Kuu Mt Cesilia Arusha Tanzania













YOUR LINK HERE:


http://youtube.com/watch?v=uwPw6tPvIDM



Available on all Platforms: https://album.link/tnzdgbjjdsnnx • Download or listen online: https://mdundo.com/song/2161752 • Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania • Producer: Verony Productions Ltd. • Composer: F.E. Single • Copyright ©Verony Productions Ltd. • 1. Bwana alinitendea mambo makuu • Nilipoita jina lake aliniitikia • Alinitegemeza katika taabu zangu. • {Asante - kwa wema wako • Asante - kwa ukarimu • Asante kwa pendo lako nashukuru} * 2 • 2. Bwana ameniponya na magonjwa mengi • Pia amenikinga na ajali mbaya sana • Amenitoa katika mitego ya shetani. • 3. Nimetafakari upendo wake Bwana • Kujivika ubinadamu na kufa msalabani • Ili nikombolewe utumwani wa shetani. • 4. Ni mara nyingi sana nimetenda dhambi • Lakini Bwana Yesu hakunihukumu kwa dhambi • Hakuna kama Bwana yeye ni Mungu pekee. • 5. Wema wake Mungu wangu hauna mwisho • Ameniandalia makao baada ya kifo • Masharti yake niwe nimetii amri za Mungu. • 6. Enyi ndugu zangu mlio katika Kristu • Unganeni pamoja nami kumshukuru Mungu • Ni mema mengi sana yeye ametujalia.

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org