Geraldine Oduor feat Dan Shilla Msaada Wangu











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=vb1DqR57Fpo

Geraldine Oduor - Msaada Wangu • Song composed and written by Geraldine Oduor... from the book of Psalms 121... • Sung in Swahili) • #Lyrics • Refrain: • Nitayainua macho yangu milimani (I will lift up my eyes to the hills) • Msaada wangu watoka wapi? (Where does my help come from?) • Msaada wangu u kwako Bwana (My help is in You Lord) • (Repeat) • Nakuinulia macho yangu (I lift my eyes to You) • We uketiye juu sana (Who sits enthroned on high) • Kama macho ya watumishi (Like the eyes of the servants) • Kwa mkono wa bwana zao (in the hands of their masters) • Niletewe Nuru yako (Grant me Your light) • Kweli yako zini ongoze (Truly continue to lead me) • Zini fikishe kwenye mlima (Until I reach the summit) • Maskani yako takatifu (Your Holy Place) • Bwana ndiye mlinzi wangu (The Lord is my protector) • Uvuli wa mkono wangu (The shadow of my hand) • Jua halinipigi mchana (The sun does not shine on me by day) • wala mwezi usiku (Or the moon by night) • Anilinda na mabaya (He protects me from evil) • Atalinda nafsi yangu (He will protect my life) • Nitokapo na niingiapo (When I leave and when I return) • Tangu sasa na milele (From now, until forever) • • (Refrain) • Sheria yako ni kamilifu (Your law is complete) • Huiburudisha nafsi yangu (It refreshes my soul) • Shududa wako niamini (I trust Your testimonies) • Hunitia hekima (It gives me wisdom) • Maagizo yako ni adili (Your instructions are Good) • Hufurahisha nafsi yangu (It gives me joy) • Amri yako ni safi sana (Your orders are good) • Huyatia macho nuru (They light the eyes) • Kicho chako ni kitakatifu (Your Holy stream) • Kinadumu milele (Is forever) • Hukumu zako ni za kweli (Your judgements are true) • Zina haki kabisa (They are just) • Kuliko wingi wa dhahabu (Unlike many gold things) • Hukumu zako zatamananika (Your judgement is desired) • Kuliko sega la asali (Unlike the bee hive) • Hukumu zako tamu kweli (Your judgements are sweet) • (Refrain) • Nitayainua macho yangu Bwana (Lord I will lift up my eyes) • Wewe u msaada wangu wa karibu (You are my close help) • (Refrain)

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org