HIGHLIGHT Simba VS Kagera Sugar 01
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=vv1HcTKYhqw
HIGHLIGHT Simba VS Kagera Sugar 1- 0 • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, John Pombe Joseph Magufuli amewakabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba SC wakitoka kufungwa 1-0 na Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. • Na kabla ya kuwakabidhi Kombe hilo, Rais Magufuli akawaambia Simba SC hajaridhishwa na kiwango cha mchezo wao na akawataka wakakiboreshe kuelekea kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani. • Pamoja na hayo, Rais Magufuli amewapongeza Simb SC kwa kufikia kutwaa la ubingwa wa Ligi Kuu bila ya kupoteza mechi kabla ya kufungwa na Kagera leo. • http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . • TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 • kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
#############################
