WANANCHI MWANZA HAWATAKI MATUTA YAONDOLEWE
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=w95m0_ecrsM
Wananchi wa jiji la mwanza wamepaza sauti zao wakihoji hatua ya wakala ya Barabara Tanzania TANROADS kuondoa baadhi ya matuta barabarani maarufu kama bamzi katika sehemu hatarishi. • Zoezi hili limekuwa likifanywa kwa takriban miezi miwili sasa hasa katika barabara kjuu iendayo uwanja wa ndegejijini mwanza. • #nrtv #wizara yaujenzi #mwanza #tanroads
#############################
