Siku moja mavuno yataisha kabisa 179 NW











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=wPntqQUmS1g

179 SIKU moja mavuno yataisha kabisa • Nyimbo Za Wokovu • #Nyimbozawokovu • 1. Siku moja mavuno yataisha kabisa, • baada ya hayo hukumu. • Jua litazimika siku hiyo ya mwisho, • na hutasikia injili • Refrain: • Atakusanya ngano kwa furaha ghalani • bali makapi yote yatatupwa motoni • rafiki utakuwa wapi • 2. Mahubiri na nyimbo za wokovu wa mungu • zitakaponyamaza huku, • uliyelikataa neno zuri la mungu, • utakaa wapi milele • 3. Watu wote wa mungu wafikapo mbinguni • kukaa pamoja na yesu, • wataimba kabisa kwa sauti nguvu • kumshangilia mwokozi

#############################












Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader Β© 2025

created by www.youtor.org