Viongozi wakuu nchini wahimiza amani na mshikamano Sikukuu ya EID
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=wRSqO5tJGqo
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wametoa wito kwa Watanzania kudumisha amani, umoja na mshikamano pamoja na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu. • ✍@official_jennifersumi • #azamnewsupdates #amani #mshikamano #umoja #viongozi
#############################
