Wasagaji na mashoga wafanya maandamano











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=wnNS5M8thG4

Haki yetu, haki yetu...ndio ilikuwa kauli mbiu yao pale jamii ya wasagaji na mashoga ilipofanya maandamano leo kutaka watambulike kisheria. Wanashinikiza mkuu wa sheria githu muigai afanyie marekebisho sheria inayotambua tu uhusiano kati ya mke na mume. Maandamano haya yanakuja wiki moja baada ya raia wa australia ian castleman kuwasilisha kesi mahakamani kutaka usenge ukubalike hapa nchini. • Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv • Follow us on   / ktnkenya   • Like us on   / ktnkenya  

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org