Dalili za mimba changa kuharibika Dalili za Mimba kutunga nje ya kizaziEctopic pregnancy
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=xxZ4QKzTR0A
Mimba inaweza kuharibika katika kipindi chochote cha ukuaji wake, itategemea zaidi na matunzo lakini vilevile hali ya kiafya ya mama mjamzito. • Baadhi ya mambo yanayoweza kusababisha mimba kuharibika ni pamoja na mimba kutunga nje ya kizazi, uvimbe kwenye kizazi, matatizo sugu ya UTI, upungufu wa lishe na virutubisho n.k • Katika video hii utajifunza na kufahamu dalili 12 za mimba kuharibika na sababu zake. • Follow us on: • Facebook: / mshaniwellness • Instagram: / mshani_wellness • Twitter(X): / mshaniwellness • TikTok: https://www.tiktok.com/@mshani_wellne... • Whatsapp Group: https://chat.whatsapp.com/Cmmd4Azdy1u... • Contact: 0743039890
#############################
![](http://youtor.org/essay_main.png)