Florent Kyombo on YouTube











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=yM3kFyrU8ZI

OFISI YA MBUNGE KWA KUSHIRIKIANA NA BENKI YA NMB WAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA YA USAJILI WA ACCOUNT ZA VIKUNDI VYA MIKOPO YA ASILIMIA 10 YA HALMASHAURI KATIKA KATA ZA WILAYA YA MISSENYI. • Wajasiliamari wa Kata Kashenye, Kanyigo na Kakunyu Wilaya ya Missenyi waungana na Wanamissenyi wote kutuma salaam za pongezi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kurejesha tena utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu kwa utaratibu wa kutumia Benki kwa Halmashauri. • Jana zoezi lilifanyika katika Kata za Kashenye na Kanyigo na leo zoezi limeendelea Kata Kanyu zoezi la kusogeza huduma ya usajili wa account za Vikundi za Benki ya NMB kwa Wajasiriamali Kata kwa Kata hii ni pamoja na kuwalipia sh.30,000 za kufungua account za Benki pesa inayolipwa na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mh. Florent Kyombo. • Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Nkenge na Maafisa wa Benki ya NMB kwa kushirikiana na Madiwani wa Kata, Kamati za usimamizi za huduma ya mikopo ngazi ya Kata na Wilaya wameendelea kutoa amasa na elimu kwa Wananchi wenye vigezo waweze kunufaika na fursa ya mikopo ya asilimia 10 • Zoezi la usajili wa vikundi hivyo linaendelea kwa kuwafata Wananchi katika Kata ili kuwapunguzia usumbufu wa nenda rudirudi, foleni za Benki na gharama za Usafiri wa kutoka kwenye Kata na kwenda makao makuu ya Wilaya yanayopatikana Kata Kassambya ambapo ndipo panapopatikana Benki ya NMB • Wananchi Missenyi Kagera wanampongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kurejesha tena utoaji wa mikopo ya asilimia 10 • Ofisi ya Mbunge inashukuru juhudi za Serikali katika kuhakikisha vikundi hivi vinapata fursa ya kukuza biashara kwa kupata Mkopo wenye masharti nafuu • ##mamasamiamitanotena • ##tunaendeleanamama2025 • ##nikyombonasamia2025 • ##madiwaniwaccmkaziiendelee • ##tukutanesite2025 • https://www.instagram.com/reel/DCmG-r...

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org