>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=yVlUVsMUxPk

Out now: http://africori.to/enjoy.oyd • Subscribe: @africanboyJUX • Tanzanian music sensations Juma Jux and ‪@dplatnumz‬ release the visuals for their highly anticipated song Enjoy , which celebrates life and its pleasures. The song's message touches on the burden of constantly searching for the right partner, which often leads to pain and disappointment. As a result, the protagonist decides to take a break from relationships and focus on enjoying life because it is too short. • Video Directed By: @fole_x • Story: @swaggdaddyyoungray • Stylist: @noelgiotz • The song was produced by S2Kizzy. • Available to Stream / Download: http://africori.to/enjoy.oyd • © 2023 AFRICAN BOY REC • Lyrics • Verse: Jux • Hii leo • Acha tu niwaweke wazi • Mubaki na mishangao • Kuhusu haya mapenzi • Nataka kuyaeleza • Na leo • Tena wahiteni paparazi • Warushe kwa mitandao • Siyataki mapenzi • Nataka jipongeza • Unaemwita your baby • Kumbe nae ana baby • Ooh unaemwona kipenzi • Ni mshenzi hakupendi • Ama kweli mtihani • Mambo mengi duniani • Na mi stress siwezi • Ooooh siwezi • Aahh • Chorus: • Bora ni Enjoy (Mmmmmh) • Maisha mafupi ni simple • Yanini niteseke roho • Jiunge nami upoze koo • Bora ni Enjoy • Maisha mafupi ni simple • Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini) • Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo) • Verse: Diamond Platnumz • Kama kupendaaa • Bora nimpende mama yangu (Mmmh) • Kama kupendwaa mimi iih • Nitajipenda peke yangu (Ooooh) • Kilichoniponza ufala • Kujiona simba kumbe swala • Nikazama kwenye penzi uchwala • Badala ya kusaka miamala • Aiii yooooooo oh • Toka ni date pesa (Enhee) • Sa napendeza (Enhee) • Na tena naenjoy (Enhee) • Na wanangu ma homeboy (Enhee) • Ooooh account inasoma (Enhee) • Na kamwili kananona (Enhee) • We mwenyewe si unaona yani (Enhee) • Ai nasema boraaaa • Chorus: • Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi) • Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) • Yanini niteseke roho • (Yanini niteseke rohoo) • Jiunge nami upoze koo • (Jiunge na mimi ah) • Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi) • Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) • Yanini niteseke roho (Aaahh iyeeeeiiii ye) • Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah) • Bridge: • Napenda nikilewa • Nipande juu ya meza • Minjonjo • Huku natema kiingereza • Tupande juu ya meza • Tupande juu ya meza • Tupande juu ya meza • Za za za za za • Chorus: • Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi) • Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) • Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini) • Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo) • Distribution by Africori: http://www.africori.com • #Jux #DiamondPlatnumz #Enjoy

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org