Martha Mwaipaja Wangejua Official Music Audio
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=yhuQP4Wj5nA
Wangejua ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna ambavyo Mungua anavyotuwazia mema kwenye maisha yetu tofauti na vile jamii au watu wanvyotuzunguka wanavyoweza kutuchukulia.Kumbuka kuweka maoni yako,kulike pamoja kusubscribe youtube account yanguu hii. • #MarthaMwaipaja#Wangejua#OfficialAudio
#############################
