Simba yaukaribia ubingwa kwa kuirarua Mwadui 30 Taifa Tazama Highlights 20062020











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=yzUUtqTkJZs

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC leo wamepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Taifa, Dar es Salaam. • Wafungaji wa mabao hayo ni Hassan Dilunga, Augustino Samson la kujifunga na John Bocco. • Ushindi huu unaifanya Simba ibakize michezo mitatu pekee kutetea taji lake ya VPL • Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: • ► https://bit.ly/2wB6zmR • Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii • ►INSTAGRAM:   / azamtvtz   • ►INSTAGRAM:   / azamsports2   • ►TWITTER:   / azamtvtz   • ►FACEBOOK:   / azamtvtz   • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org