BBC News Swahili











############################# Video Source: www.youtube.com/watch?v=76QtS2dF_cQ

'Kwa nini wanatupiga kwa mabomu?' • Gaza imebadilika na kuwa vifusi • Mashambulio ya Israel dhidi ya Gaza yamekuwa makali kiasi kwamba vitongoji vyote tayari vimeharibiwa kabisa. • Mwandishi wa BBC Adnan al-Bursh alifika kitongoji kimoja katikati ya Gaza ambapo magorofa 32 ambayo yalikuwa na takribani watu 5,000 yameharibiwa katika usiku mmoja. • - • - • #bbcswahilileo #Isrel #Gaza #Hamas #Palestine #Israel • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube