Fid Q feat Barakah The Prince Mafanikio Official Audio
#############################
Video Source: www.youtube.com/watch?v=FIJ4YRYS0Ic
#FidQ #Mafanikio #BarakahThePrince #SlideDigital • intro: Barakah The Prince • kila mtu anataka mafanikio.. • verse 1:Fid Q • Kujisikia nipo juu mie sitaki hizo deals/ • sipendi makuu hivyo nitabaki kuwa real../ • na kila track ya Q aaah,.. ni wazi utaifeel/ • ni wazi iko full aah MZAZI ninakill/ • ninamwagika kama Masika../ ninaheshimika na sio kanjibai/ • kwa huu mziki wa bajaji hadi kwa washkaji wenye macadillac/ • unawashika ile kibabylon.. unauzika sana maghetoni/ • ilimradi tu wawe happy more..midadi tu ila party noooo/ • mkisinzia mtaniudhi nishawapa vyeo/ • tuwape wapuuzi waliodai hii haiuzi haya matokeo/ • safari ni hatua.. kufika inabidi uianze/ • haina kukita au kusita.. inabidi ukaze/ • ingia, ongoza au fuata njia, kukimbia ni mwiko/ • kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo/ • nikisema 'chini hapana' nina maana fanya unyanyuke/ • na ukiamini umesimama mwana.. komaa usianguke/ • ukijituma na neema inakaribia../ • nyuma walio-give up mapema wangekaza wangeifikia/ • penye... happy.. jitusu.. unafki usiuruhusu/ • yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu/ • kibongobongo longolongo shazi/ • endelea kusaka mchongo hata ukipata kazi/ • HOOK: Barakah the prince • Tunachukiana? ndio../ • ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio/ • ongeza mbio/ • sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio/ • haukungoji wakati.. ooh wewe/ • zinapita nyakati..ooh wewe/ • muda wako bahati.. oh wewe/ • • verse 2:Fid Q • Na kughairisha kisa haupati sapoti/ • ni kujificha na kuuliza giza.. iko wapi ile tochi?/ • haupati ile noti/ • na wakati wa ule uboss ushapotea/ • hautaki ukose? usiache ofcoz endelea/ • utafanikiwa kwa unachojua au unachofanya/ • wachache ndio hutusua kwa jinsi tu wanavyoonekana/ • mafanikio hayaji ukikata tamaa../ • yenyewe huwafuata wanaojituma na wale wasiosukumwa na njaa/ • sipigi kila dili mipaka imezingatiwa/ • sitaki kuwa tajiri ninataka kufanikiwa/ • ili kuheshimiwa kwanza ni lazima ujiheshimu/ • lakini kufanikiwa ni maujanja tu sio lazima elimu/ • ili kuyadaka wengine hugeuka wabaya/ • mafanikio kwenye kuyasaka wengine hugeuka malaya/ • hugeuka was(i)o haya/ • kutwa utawakuta kwa babu/ • na anayefanya mambo ya maana huwa hana muda wa kuyahesabu/ • kwenye kuyasaka hakikisha haufilisiki/ • haupotezi maisha au vile vitu havinunuliki/ • sio kama hatucheki kwasababu tumezeeka?/ • nope.. ni tunazeeka kwasababu hatujawahi cheka/ • HOOK: Barakah the prince • Tunachukiana? ndio../ • ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio/ • ongeza mbio/ • sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio/ • haukungoji wakati.. ooh wewe/ • zinapita nyakati..ooh wewe/ • muda wako bahati.. oh wewe/ • utumie basi... eeeh eeeh/ • bridge: Barakah The Prince • una mpenzi (na) uko lonely?/ • im sorry ndugu.. haujafanikiwa/ • maisha ni kama boli, magoli ndio kufanikiwa/ • oooh ooh oooh..oooh.. ndio kufanikiwa/ • kila mtu anataka mafanikio.../ • outro:Barakah The Prince • hhhmmm.. hhhhmmm.. oh mafanikio • oh mafanikio • kila mtu anataka mafanikio • FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: • Written Performed by Fid Q • Follow Fid Q on • Twitter: / fidq • Facebook: / fidhop • Instagram: / therealfidq • Channel Administered by Slide Digital • Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz
#############################