Sukuma amp Nyamwezi Music Festival Nzega Arts Center
#############################
Video Source: www.youtube.com/watch?v=Gd6s3wUunbQ
Kuhusu Tamasha la Kwanza la Mziki wa Wasukuma na Wanyamwezi. Nzega Ndogo, Nzega, Tabora, Tanzania, tarehe 18 Mwezi wa Sita, 2017. Lilifanikiwa Kituo Cha Sanaa Nzega. • This video is about the first Sukuma Nyamwezi Tradition Music Festival held in Nzega Ndogo, Nzega, Tabora, Tanzania on 18th June 2017. Produced by the Nzega Arts Center. • / nzegaartcenter • Mwasiliano/Contacts: • +255756853681 • +255765134749 • [email protected] • [Mtuvumilie, tutarudisha sauti ya Mchungaji Silas mapema. alisema... • …lakini nacho ninataka kuzumgumza pia, wengi wanajua mimi ni mchungaji. Ngoma hizi ya asili tunataka pia tuzilete kanisani. Sasa hivi tunamagita, tunafurahishwa, lakini ngoma hizi zikisimama kanisani kumwembia Mungu, kumtukuza Munugu, Munugu atafurhaishwa, Mungu atafurhai. Kwahiyo mimi ninawashauri kwamba utamaduni hizi zitaendelee lakini pia Munugu anataka tumwimbie kwa luga zetu kwa utamaduni wetu. Mwezi iliyopita nilikuwa Rwanda. Watu wa Rwanda wanazitangika utamaduni wao. Wana ngoma za asili mpaka kanisani. Kwa hiyo hata mimi ninawaombe manju wanaweza kuja kuimba kanisani wakaimba nyimbo ambazo zinaweza kuimbie, kumtukuza Mungu. Na Mungu atafurhai, na Mungu akakutuzwa, wewe ni wa muhimu sana ulivyo. Hatutaki kuita utamaduni zingenie. Utamaduni hizi kwetu, za kiafrika au za kisukuma zinatakiwa pia tunazipeleka hata makanisani. Watu tucheze ngoma hizo kwa manaa ya kuimbia Munugu na kumtukuza Mungu. Sina mengi la kusema na kuongeza sana kwasababu nimeanzisha kukumbuka utamaduni zetu sisi wasukuma. Uendelee hivyo lakini tuawakaribisha hata makanisani. Munugu awabariki wandugu.]
#############################