ALICHOSEMA AHMEDI ALLY KUHUSU CHAMA KUONDOKA SIMBA











############################# Video Source: www.youtube.com/watch?v=Kq-Pjuvr2XA

Msemaji wa Club ya Simba Sport Ahmedi Ally amezungumza na Waandishi wa habari ili kuwaweka sawa Mashabiki wa Club hiyo kutokana na Wasiwasi wa kuondoka aliyekuwa mchezaji wa Club hiyo akiwa kama kiungo mshambuliaji Cratus Chota Chama ambaye Sasa amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia club ya Yanga. • Ahmedi Ally amewaomba wanasimba kukubaliana na undokaji wa Chama kwenye Club ya Simba na wakubali kuanza maisha mapya bila ya Mchezaji huoyo kwani maamuzi ya uongozi wa Club hiyo ni ya busara • #Chama

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube