Jose Chameleone Gwiji wa muziki Afrika Mashariki











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=4TqLZwidJ1E

Gwiji wa muziki toka nchini Uganda Jose Chameleone hivi karibuni alisherehekea miaka 25 katika tasnia ya muziki. • Chameleone alitoa albamu yake ya kwanza mwaka 2000, na kufikia mwaka 2013, alikuwa ametoa albamu 13, zikiwemo Kipepeo, Shida za Dunia, Valu Valu, Bayuda, Badilisha, Sweet Banana, na Champion. • Mwandishi wa BBC Swahibu Ibrahim alimtembelea Jose Chameleone na kuandaa taarifa hii • • 🎥: @frankmavura • #bbcswahili #uganda #muziki • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube