UCHUMBA HADI NDOA NA DrGODWIN GUNEWE
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=76TWSOy2MRM
Ni Kipindi cha Dini kinacholenga Mafundisho ya Neno la Mungu ikiwa ni pamoja na Kumsifu Mungu kupitia Waimbaji wa nyimbo za injili kutoka nje na ndani ya Nchi, kufahamu historia zao nk. usikose kufuatilia vipindi hivi kila Jumapili kuanzia saa 06:30 asubuhi mpaka saa 09:00 asubuhi STAR TV. • Usikose kushiriki nasi Baraka hizi na na tunakaribisha waimbaji wa nyimbo za injili wote, Wachungaji, Maaskofu, Padri na Nk wasiliana nasi kupitia Mitandao yetu ya kijamii au namba simu +255 784 770796 tutakupa nafasi ya Kufanya Kipindi kupitia STAR TV, • Mungu aendelee kukubariki sana sana.
#############################