Jinsi Ya Kufanikiwa Katika Biashara Ya Kuchomelea WELDING Al Kabellerge Show
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=BdlL1r--vZU
Anaitwa Masumbuko, Jina maarufu..PENGO. Ni kijana mjasiliamali. Baada ya kufeli kuendelea na masomo ya sekondari, aliamua kujifunza ufundi wa kutengeneza majiko ya kupikia (jiko la mkaa).Kwa mtaji mdogo wa shilingi 15,000/= aliamua kujiajiri. Sasa anamiliki karakana yake na katengeneza ajira kwa vijana wengine. • Follow Maktedis : / maktedis • / maktedis • Follow Al Makono: http://almakono.blogspot.com • / makonohub • / makonohub
#############################