KMC 10 Namungo FC Makocha Juma Mgunda Abdi Hamid Moallin watoa neno
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=C48GKvcm5kk
“Tumefanya makosa ya kutokuwa na utayari, wenzetu wakapata goli” maneno ya Kocha Juma Mgunda wa Namungo FC, akizungumzia mchezo wa leo Alhamisi ya Oktoba 31, 2024 wa NBC Premier League dhidi ya KMC. • Kwa upande wake Kocha Abdi Hamid Moallin amesema leo wanasherehekea kupata alama tatu na sasa wataanza kujiandaa kwa ajili ya Simba SC kwa sababu huo ni mchezo mkubwa. • FT: KMC 1-0 Namungo FC • #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SisiNiSoka #KMCVsNamungo #KMC #Namungo #KMCNMG
#############################