JORAM NKUMBIMsikilize Mlumbi akiwapa madini mamia ya vijana walioshiriki katika NJEYABOXYOUTHTALK











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=CDtCf434nCY

Katika #NJEYABOXYOUTHTALK iliyoandaliwa na Ufaulu Project Tanzania, Vijana zaidi ya elfu moja na mia tano walipata bahati ya kujifunza mengi kutoka kwa ndugu Joram Nkumbi ambaye ni moja ya vijana mahiri na machachari katika kukuza uzalendo na kuhamasisha matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili sambamba na uongozi mahiri kwa vijana wa Tanzania na Afrika nzima. Katika hotuba yake Ndugu Joram alihimiza vijana kuwa na uthubutu, kujituma na kujijengea mazoea ya kuwaza NJE YA BOX, ili elimu wanayoipata darasani iweze kuwa na manufaa kwao na kwa jamii nzima ya Tanzania na bara la Africa kwa ujumla.

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube