MCHUZI WA KABAB RAMADHAN COLABORATION 3











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=CaBUBpt18AY

SHUNA'S KITCHEN CHICKEN CURRY    • Mchuzi wa nazi wa kuku - Chicken brea...   • FARHAT YUMMY - MCHUZI WA KONDOO    • Jinsi Ya Kupika Mchuzi Wa Nyama Ya Ko...   • Nyama ya kusaga pound 2/900gms ( unaweza kupunguza iwe pound 1 na 1/2 • Zuchini /kusa 1 1/2 (ipare kutimia kikombe 1 na 1/2 ) • Chumvi kiasi • Pilipili manga nusu kijiko kidogo • Tangawizi mbichi na thom ilosagwa - Kjk 1 kikubwa • Yai 1 • Kikombe 1 bread crumbs ( chenga za mkate au roweka slisi 2 za mkate na maji, chuja maji halafu tia kwenye mchanganyiko wako • Majani ya dhania kiasi • Kijiko 1 kidogo cha bizari ya mchuzi utakayopenda • 1 tsp seasoning of your choice • • KWA MCHUZI • Kitunguu 1 kikubwa ( kata vipande vidogo kutimia kikombe 1) • Mafuta ya kupikia viko 2-3 • Vijiko 2 vidogo vya bizari ya mchuzi utakayopenda • Tangawizi mbichi na thom ilosagwa - kjk 1 kidogo • Vijiko 2 vikubwa tomato paste ( nyanya nzito ya mkebe) • Pound 1 na nusu mpaka 2 za nyanya - ( saga au kata vipande vidogo vidogo • chumvi kiasi • Nusu kikombe maji au supu ya mifupa nya ngombe • pilipili mbichi kama utapenda • Majani ya dania/kotmiri - kiasi • Ndimu au limao - kiasi • HOW TO BLANCH TOMATOES • • Aroma of Zanzibar social media •   / fathiya.ismail   •   / aromaofzanzibar   • Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc... • Video Intro Mombas • a spice market by Chef Farouk Amboka • https://www.instagram.com/faroukambok... • • Music courtesy   / contemplative-middle-east-oud-improvisation   • This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader Š 2024

created by www.mixer.tube