Kiongozi wa kundi la Mombasa republican council MRC Omar Mwamnuadzi ametiwa nguvuni











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=DBBEPIKL6Ng

Wakereketwa hao wa MRC wanachunguzwa kwa kile kinatajwa kuwa kufanya mkutano bila kibali. Polisi wanachunguza baadhi ya stakabadhi zilizopatikana nyumbani kwake ili kupata tuhuma zaidi za kumshtaki. Mahakama ya kwale ilikubali ombi la polisi kuwa washukiwa wawekwe rumande kwa muda wa juma moja ili kuruhusu polisi kukamilisha uchunguzi. Katika siku za hivi punde idara ya polisi imehusisha kundi la mrc na shambulizi la mpeketoni ikisema wanachama wake wanashirikiana na magaidi kutekeleza visa vya ugaidi katika Pwani ya Kenya • Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live • Follow us on   / ktnkenya   • Like us on   / ktnkenya  

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube