Jenerali Mabeyo afunguka kilichotokea kabla ya kifo cha JPM











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Dre3oaemE-c

Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Nchini, Jenerali Venance Mabeyo amesimulia kilichotokea kabla ya kifo cha hayati Dkt. John Magufuli na ukinzani wa pande mbili ulivyosababisha kuchelewa kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan saa 48 baadaye kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977. • Mabeyo ameyasema hayo wakati akizungumza na moja ya chombo cha habari cha serikali katika mahojiano mahsusi ya kumbukumbu ya miaka mitatu ya kifo cha Rais Magufuli aliyefariki dunia Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena Kijitonyama Dar es Salaam. • Kwahisani ya Daily News Digital na kuhaririwa na @official_jennifersumi • #simulizi #magufuli #kumbukizi #jeneralibabeyo #uongozi #katiba

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube