kila binadamu anastahili kuishi maisha yenye thamani











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=K3Zi1nqfl7s

Wakati Marekani ikielekea katika uchaguzi mkuu 2024, wananchi wa Afrika watoa wito kwa wagombea urais Marekani, Kamala Harris na Donald Trump wakisisitiza sera ya Marekani itakayopelekwa Afrika lazima izingatie kuwa kuna mataifa mengine kama Russia yaliyo na ushawishi katika bara hilo. Pia ujumbe kwa wagombea hao ni kuhusu haki ya kila binadamu kuwa anastahili kuishi. Endelea kusikiliza maoni yao... • • #wananchi #afrika #wagombea #urais #marekani #donaldtrump #kamalaharris #sera #ushawishi #russia #voa #voaswahili

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube