Unajua nini kuhusu watoto Njiti Ep02 Doctor Rafiki
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=KcSoNyQeinA
Karibu kusikiliza na kujifunza Sehemu ya pili ya kipindi cha Doctor Rafiki tukizungumzia mada ya Watoto Njiti. Leo, tutazungumzia kwa kina kuhusu Kangaroo Mother Care, na namna inavyotumika. Ungana nami Dr. Julieth Sebba, MD pamoja na Dr. Irene Mageni kutoka Sauti ya Daktari. #prematurebaby #prematurebabies #premature #health #pregnantmother #doctorrafiki
#############################