Familia za Ngorongoro zaanza rasmi safari ya kuelekea Msomera
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=_KMQQDnxE6g
Kundi la kwanza la wananchi waliokuwa wakiishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania limepewa fidia na kuondoka rasmi leo kuelekea Tanga kuanza maisha mapya. • Kundi hilo la familia 27 kati ya 103 zilizokubali kuondoka kwa hiyari kwenye hifadhi hiyo, lilitoka jana hifadhini na kufikia mji wa Karatu, Arusha kabla ya kuanza safari alfajiri ya leo kuelekea kwenye makazi yaliyoandaliwa na serikali katika kijiji cha Msomera, wilaya ya Handeni. • #bbcswahili #ngorongoro #wamasai
#############################