PENZI LA SHETANI Hadithi za Kiswahili Katuni za Kiswahili
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=hRp8paL6CGs
PENZI LA SHETANI • Hapo kale Katika UFALME palitokea Mfalme aliyekuwa akiwaongoza watu wake bila uadilifu…. • Wakati fulani Malikia alinifungua mtoto wa kike,mtoto huyu alikuwa mzuri na mrembo mno,nywele zake zilikuwa ni za dhahabu… • Mfalme na Malikia walifurahia Sana kuzaliwa kwa mtoto huyo,kwani alikuwa ni mtoto wa kwanza wa Mfalme… • Mfalme akampa Jina la Losa Binti yake akimaanisha ni kwanza na mwenye nguvu… • Siku moja kwenye UFALME huo walikuja malaika,Malaika walifika hapo ili kumpongeza Mfalme kwa kupata mtoto,Lakini pia walimuonya Sana MFALME na kumsihi kuwa mwema kwa watu wake… • Lakini MFALME Hakuwasikiliza Malaika kwani alijiona kuwa sahihi wakati wote… • Malaika kwa kuona bado MFALME alikuwa ni mkaidi wakaamua kwenda zao.. • Siku iliyofuata walipoamka LOSA Binti Mfalme hakuwa na nywele zake za dhahabu kichwani,Tena alibaki akiwa mwenye Upara..Hakikisha Unasubscribe kwa video zaidi... • #hadithizakiswahili2022 #katunizakiswahili #swahilifairytales
#############################