KIMARA SDA YOUTH CHOIR TAABU
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=hwG_TqvcVnM
Taabu yako anaijua! Na MUNGU wako wa mbinguni yuko tayari kukuokoa na kila taabu unayoipitia. Hauko mwenyewe katika Taabu yako Bwana atajidhihirisha kwa kuwa yeye ni mtetezi wako na atakushindia. Katika kila hali bado MUNGU NI amwaminifu. • #kimarasdayouthchoir #taabu #sda #music #gospel #gospelmusic #gospelsongs #sabatoyetutv
#############################
New on site