JINSI YA KUPIKA PIZZA KISWAHILI
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=tP3FDPbDC2U
Sosi ya pizza • Mahitaji • Mkebe mmoja wa nyanya 280z/794 gms • Nyanya za kawaida mbichi kiasi gram 800 • Vitunguu thom kiasi chem 4/5 • Mafuta ya halizeti vinjiko 2 vikubwa • Sukari kijiko 1 kikubwa au zaidi • Chumvi kijiko 1 kidogo • Pilipili mannga 1/2 kijiko kidogo • majani ya zaatari/saatari makavu na mabichi kama utapenda • • Kwa Unga wa pizza • Unga wa ngano vikombe 3 1/2 - 437gm • Maji ya vuguvugu kikombe 1 - 250ml • Sukari vijiko 2 vikubwa • Chumvi kijiko 1 kidogo • Hamira vijiko 2 1/2 vidogo ( gms 7) • Mafuta ya halizeti vijiko 2 vikubwa • • OKA PIZZA MARA YA KWANZA MOTO 400F/260C kwa dakika 5 , halafu endeles kwa dakika 7/8 • Jinsi ya kupika nyanya mbichi (blanching) • How to Blanch Tomatoes
#############################